Kiswahili Department

  HEAD OF KISWAHILI- MADAM PETRONILLA SHUMILA

Idara ya Kiswahili ina walimu saba wenya ushikiano na bidii ya muchwa. Katika KCSE ya 2014, jumla ya wanafunzi 89 walipata gradi ya A na 61 wakapata A (minus) katika somo la Kiswahili. Alama ya wastani nayo inaweza kuwa bora kuliko ya 2010, kwani ili­kuwa 9.82 kutoka 9.55.

            students attentive in the assembly

Kando ya kutia fora katika masomo da­rasani, wanafunzi wa shule ya Maseno wali­weza kuwasilisha mashairi kwenye mashin­dano ya kitaifa katika mwaka wa 2012. Idara hii pia ilifaulu kuandaa kongamano la kufana katika mwaka wa 2012 lililohudhuriwa na shule 23 za secondary kutoka pande zote za Kenya. Aidha, idara hii huandaa mijadala, hotuba pamoja na mashindano mengina yanayokusudiwa kunoa makali ya ulumbi mingoni mwa wanafunzi kila Alhamisi.

Lengo letu katika mtihani wa mwaka 2013 ni kuhakikisha kwamba wanafunzi 150 wamepata gradi ya A na wastani ya alama.

2016 DIARY

01-07-2016

 

form two open day underway

read more

Maths Contest Snr Individual Results

FORM  FOUR BOYS FORM 3 BOYS CODE SCHOOL NAME G F MARKS POS   CODE SCHOOL …

read more